Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa shisha nchini humo na kulitaka jeshi la polisi kufanya kila juhudi kutokomeza uraibu huo.
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola Aionya Jamhuri Kumsotesha Mahakamani Kwa Kesi ya Rushwa
KANGI Lugala, Mbunge wa Mwibara ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa onyo kwa Jamhuri kwa kukwamisha kuwasomea maelezo ya awa...
Kitwanga Azungumzia Sakata la Kutumbuliwa Kwake na Rais Magufuli
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga (CCM) amezungumzia jinsi alivyopokea kutu...
HAKUNA EBOLA SHINYANGA,MGANGA MKUU ASISITIZA
Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt Ntuli Kapologwe akizungumza na waandishi habari juu ya uvumi wa kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola mkoani Sh...
MKUU WA POLISI AUAWA
Kanali Muhammad Suwaysi aliteuliwa kama mkuu wa polisi mjini Tripoli mwaka 2012 Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Libya Tripoli, ameu...
EBOLA YATIKISA BARA LA AFRIKA
WHO imeruhusu dawa ya Zmapp kutumika kuzuia kuenea kwa Ebola nchini Liberia Jopo la wataalam wa shirika la afya duniani WHO limeamua ...
MADAKTARI WAUNDA MASIKIO BANDIO KUTOKA UBAVUNI
Madaktari waunda masikio toka ubavuni mwa kijana mwenye miaka 9 Madaktari nchini Uingereza wameumba masikio kutokana na ubavu wa kija...
Pata tukio la ajari ya basi la Najmunisa katika Video
Watu 63 wamenusurika katika ajari ya basi la kampuni ya Najmunisa lililopinduka jumatatu wiki hii kwenye eneo la Usanda wilayani Shin...
Kaimu mkuu wa usalama barabarani akikagua tukio
Kaimu mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Shinyanga lnsp Msami akikagua ajari Msami alisema ajari hiyo pia imechangiwa na mwend...
Majeruhi akiongezewa maji
Wataalamu wa wakiendelea kutoa huduma ya tiba kwa waanga wa ajari ya basi la Najmunisa eneo la tukio
Vilio katika eneo la Usanda
Majeruhi wakiwa tabani baada ya kupata maumivu sehemu mbalimbali za mili yao na hapa wanapatiwa matibabu
Majeruhi wa ajari ya basi la Najmunisa akipatiwa huduma ya kwanza katika eneo la tukio
Huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajari ya Najmunisa kabla ya kufikishwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga kwa matibabu zaidi
Pata picha za ajari ya basi la Najmunisa lililopata ajari mkoani Shinyanga jumatatu wiki hii
Umati mkubwa wa watu wakiwa wamekusanyika kwenye ajari ya basi la Najmunisa ambalo limejeruhi abiria 47
Watu 63 wanusulika kufa katika ajari ya Basi la Kampuni ya Najmunisa
Watu 63 wamenusurika katika ajari ya basi la kampuni ya Najmunisa lililopinduka jumatatu wiki hii kwenye eneo la Usanda wilayani Shin...
WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI WATENGWA NA WAZAZI WAO SHINYANGA
Wazazi wenye watoto wenye ulemavu wa ngozi Albino kwenye kituo maalum cha Buhangija manspaa ya Shinyanga wadaiwa kuwatelekeza watoto.kij...