Watu 63 wamenusurika katika ajari ya basi la kampuni ya Najmunisa lililopinduka jumatatu wiki hii kwenye eneo la Usanda wilayani Shinyanga likitokea jijini Mwanza kwenda jijini Dar es sallam.

Basi hilo  lenye namba T242 BRJ likiendeshwa na dereva bw Dikson Paulo lilipata ajari hiyo kufuatia guludumu la mbele kupasuka na kusababisha kuangauka kutokana na mwendo kasi katika ajari hiyo hakuna mtu aliyepoteza maisha

Pata taarifa kamili
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top