Watoto
wenye ulemavu wa ngozi(Albino),watoto wasioona na wasiosikia
wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi katika manispaa ya
Shinyanga wakiwasili katika kiwanda maarufu cha Chakula cha Musoma Food
mjini kwa ajili ya kula chakula kilichoandaliwa na uongozi wa kiwanda
hicho lengo likiwa ni kuuaga mwaka 2014 na kukaribisha mwaka 2015 ikiwa
ni utaratibu ambao kiwanda hicho kimejiwekea kuwa karibu na watoto hao
ambao wanaonekana kutengwa na jamii-picha na Shaaban Alley-Shinyanga
Mkurugenzi
wa
kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi maarufu kwa jina la Musoma
Food akiwapokea watoto hao baada ya kuwasili katika kiwanda chake-picha na Shaaban Alley-Shinyanga
Mkurugenzi
wa
kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi akimshusha mmoja wa watoto
hao kutoka kwenye gari baada ya kuwasili katika kiwanda hicho-picha na Shaaban Alley-Shinyanga
 |
Kulia ni mkurugenzi
wa kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi ambapo
alisema walemavu wa ngozi ni binadamu kama walivyo
wengine na kwamba jamii inatakiwa kuachana na imani potofu za ushirikina kuwa
viungo vya Albino vinasaidia kupata utajiri na kwamba utajiri unatokana na juhudi za mtu
wala sio ushirikina -picha na Shaaban Alley-Shinyanga
|
 |
Nje ya kiwanda cha Musoma Food kabla watoto hawajaanza kula chakula.Kushoto ni Mama Mkurugenzi wa Musoma Food-picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
 |
Hapa
ni nje ya kiwanda cha Chakula Musoma Food,watoto wenye ulemavu wa
ngozi,wasiosikia na wasioona wakichukua chakula cha pamoja kuuaga mwaka
2014 na kuukaribisha mwaka 2015 chakula kilichoandaliwa na mkurugenzi
wa kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi -picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
 |
Mkurugenzi
wa kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi akigawa maji ya kunywa kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi,ambapo alitoa wito kwa
watanzania kutowatenga walemavu wa ngozi badala yake wawe karibu nao kwa
kuhakikisha wanakuwa salama-picha na Shaaban Alley-Shinyanga
|
 |
Watoto wakiendelea kula chakula
-picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
 |
Mkurugenzi
wa kiwanda cha Musoma Food bwana Said Makiragi akigawa maji kwa watoto hao-picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
 |
Watoto wakila chakula
-picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
 |
Watoto wakiendelea kula chakula
-picha na Shaaban Alley-Shinyanga |
 |
Mkurugenzi
wa Shalleyhabari blog ndugu Shaaban Alley akiwa na mtoto Kabula ambaye
alikatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kutokana na imani za
kishirikina |
Chapisha Maoni