Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali la Kiota Women health bibi Justa Mwaitula anasema afya ya uzazi kwa vijana inawezekana na kwamba tayari shirika lake kwa ufadhili wa shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA wameweza kuwafikia vijana zaidi ya 300 wilayani Kahama na juhudi zaidi za kuwasaka vijana ili wapate huduma rafiki ya afya ya uzazi zinaendelea kwa kasi kubwa

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top