April 5, 2025 08:41:14 AM Menu

Bi Fatina Kiluvia afisa wa shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu la UNFPA anasema wapo mkoani Shinyanga kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa huduma rafiki ya afya ya uzazi kwa vijana.Bi Kiluvia alisema shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu linashirikiana na wizara ya afya na ustawi wa jamii pamoja na mashirika mengine kufikisha huduma rafiki ya afya ya uzazi katika mkoa wa Shinyanga.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

02 Oct 2013

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top