PATA PICHA ZA SIKUKUU YA IDD SHINYANGA A+ A- Print Email Watanzania wameombwa kuwaombea wabunge wa Bunge maalum la katiba ili wameze kutekeleza majukumu yao ya kupata katiba mpaya Shekh wa mkoa wa Shinyanga Isumail Habibu ametoa wito huo wakati wa ibada ya Idd kwenye viwanja vya sabasaba mjini Shinyanga Alisema ni jukumu la kila Mtanzania kuhakikisha anafuatilia kwa karibu mchakato wa bunge la katiba sanjali na kuwaombea wabunge hao na kuongeza kwamba kuna baadhi ya wabunge wanataka msukumo ili kutekeleza wajibu wao vyema tukasema nao kwa ukalibu alisema Shekh Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936
Chapisha Maoni