Jeshi la polisi mkoni Shinyanga limetumia nguvu kuwatawanya wanamichezo waliokuwa katika uwanja wa ccm Kambarage wakiongozwa na naibu waziri wa nishati na madini mh Masele. katika mchezo wa ligi daraja  kwanza kundi c kati ya timu za Stend ya Shinyanga na polisi Mara.kwenye  mchezo huo timu ya Stend ilishinda gili 1 kwa 0 ndipo baadhi ya wachezaji walipotaka kumpiga refa baada  ya dakika 90 kukamilika.Hata hivyo mtu 1 amejeruhiwa kwa kupigwa bomu kwenye makalio yake uku mama mjamzito akipoteza mwelekeo kutumika kwa nguvu kubwa kwa jeshi la polisi kumeleta mtazao tofauti kwa wanamichezo hao
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top