Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ramadhani Kabala anatoa wito kwa wadau wa afya mkoani Shinyanga kushirikiana kwa pamoja kuwakomboa vijana kwa kuwapatia huduma ya afya ya uzazi.alisema jambo hilo litawezekana endapo wadau na wakazi wa mkoa wa Shinyanga wakishirikiana kwa pamoja sanjali na kumpongeza mkuu wa mkoa huo bw Ally Nassoro Rufunga kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha afya za wakazi wa mkoa wa Shinyanga zinakuwa salama.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top