Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt Ntuli Kapologwe akizungumza na waandishi habari juu ya uvumi wa kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola mkoani Shinyanga,alisema hakuna ugonjwa huo japokuwa siku ya Jumanne wiki hii katika hospitali ya mkoa alipokelewa mgonjwa aliyekuwa akitokwa damu jambo ambalo lilileta taharuki kwa wauguzi na madaktari lakini baada ya kufanyiwa uchunguzi ilibainika kuwa hakuwa na dalili zozote za ugonjwa huo. Alisema idara yake imejipanga vyema kukabiliana na ugonjwa huo kwenye halmashauri zote za wilaya huku nguvu kubwa ikielekezwa wilaya ya Kahama ambayo ina mwingiliano wa raia kutoka nchi jirani ya Rwanda na Burundi. |
Je Umesoma hizi?
- Tanzania yapiga marufuku uvutaji shisha05 Jul 2016Maoni
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa shisha nchini humo na kulitaka jeshi la polisi kuf...Read more ?
- Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola Aionya Jamhuri Kumsotesha Mahakamani Kwa Kesi ya Rushwa05 Jul 2016Maoni
KANGI Lugala, Mbunge wa Mwibara ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa onyo kwa Jamhuri...Read more ?
- Kitwanga Azungumzia Sakata la Kutumbuliwa Kwake na Rais Magufuli05 Jul 2016Maoni
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga (C...Read more ?
- MKUU WA POLISI AUAWA12 Aug 2014Maoni
Kanali Muhammad Suwaysi aliteuliwa kama mkuu wa polisi mjini Tripoli mwaka 2012 Mkuu wa polisi...Read more ?
- EBOLA YATIKISA BARA LA AFRIKA12 Aug 2014Maoni
WHO imeruhusu dawa ya Zmapp kutumika kuzuia kuenea kwa Ebola nchini Liberia Jopo la wataalam w...Read more ?
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.