Wazazi wenye watoto wenye ulemavu wa ngozi Albino kwenye kituo maalum cha Buhangija manspaa ya Shinyanga  wadaiwa kuwatelekeza watoto.kijana Hassan Khamis alisema hayo wakati alipokuwa akiongea na waandishi wa habari. alisema wengi wa wazazi wameshindwa hata kufika na kuwajulia hali watoto wao jambo ambalo limekuwa likiwasononesha sana.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top