Chama cha watu waliozaa mapacha wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wamemsimika Rais bw Mdulambuga katika sherehe za kimila zilizofanyika kwenye kata ya Kashishi wilayani Kahama na mgeni rasmi alikuwa mbunge wa jimbo la Msalala wilayani humo bw Ezekiel Maige Sherehe hizo za kukata na shoka zilipambwa na burudani ya ngoma ya Bakango
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.