Bw Sospeter Muhongo Waziri wa Nishati na Madini akiwa na watendaji wa Wizara yake katika kanda ya Ziwa akisisitiza kuchapa kazi kupeleka Umeme Vijijini  kwa lengo la kufikia asilimia 30 mwaka  2015 ya waTanzania  wapate  Nishati hiyo muhimu ya Umeme  kwa lengo la kuondoa umasikini.kwa sasa ni asilimia 21 ya wa Tanzania ndio wanaopata Umeme na wengi wao wakiwa wakazi wa Mijini.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top