Mpiga picha maalufu mjini Shinyanga bw Zungu ameshmbuliwa kwa nondo kichwani usiku wa jumatano wikii hii mjini Shinyanga.Akiongea na mwandishi wa blog hii bw Zungu alisema kwamba alivamiwa na kundi la vibaka wakati alipokuwa akielekea nyumbani kwake majengo mjini Shinyanga.alisema vibaka hao walikuwa na nondo pamoja na mapanga walimshambulia baada ya kumtaka awape fedha.Hata hivyo vyanzo vya habari vinaeleza   kumekuwepo na makundi ya vibaka kwenye maeneo mbalimbali ya manspaa ya Shinyanga na kutishia amani kwa wakazi wa manspaa hiyo.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top