July 23, 2025 11:32:55 AM Menu

Shekh wa wilaya ya Shinyanga ametoa wito kwa Waislam kuhakikisha wanawapatia elimu bora watoto wao ili waweze kufanikisha katika maisha ikiwa pamoja na kumtii mungu.Shekh Sudi aliesema hayo leo wakati wa swala ya Idd kwenye viwanja vya ccm Kambarage manspaa ya Shinyanga.alisema elimu ndio ufungua wa kila jambo jema na kuongeza kuwa mtu asiyekuwa na elimu hata kumtii mungu itakuwa ngumu.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

16 Oct 2013

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top