SEHEMU YA PICHA ZA AJARI YA SCANIA ILIYOTOKEA WILAYANI KISHAPU

Mkurungenzi wa blog ya Shalley habari akifuatilia tukio la wizi wa vipuli na pamba kwa mwenyekiti wa kijiji cha Dulise bw Augustine Muguse ambapo katika tukio hilo wananchi wa kijiji hicho wanadaiwa kuiba vipuli vya Gari hilo pamoja na pamba.Mwenyekiti huyo amethibitisha wizi huo na kueleza kuwa walifanya msako wa nyumba kwa nyumba na kufanikisha kukamata vipuli na lita 40 za mafuta.Alisema baadhi ya wananchi walifanya vitendo vya wizi jambo ambalo jeshi la polisi kwa kushirikiana na uongozi wa kijiji tulifanya msako alisema mwenyekiti huyo.Katika ajari hiyo hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini Gari hilo na lobota 140 za pamba zimeteketea kwa moto na chanzo cha ajari kinachunguzwa na jeshi la Polisi.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top