Kiongozi wa Al Shabaab ashambuliwa
2 Septemba, 2014 - Saa 14:26 GMT

Haijulikani ikiwa Ahmed Abdi Godane aliuawa kwenye shambulizi hilo
Wanajeshi wa Mreakani wamefanya
mashambulizi ya angani dhidi ya msafara wa magari ya mmoja wa viongozi
wa kundi la Al Shabaab nchini Somalia.
Mwandishi wa BBC anasema kuwa wanajeshi wa Marekani walionekana wakishuka katika eneo hilo kwa helikopta na kuchukua miili ya wapiganaji waliouawa.
Msemaji wa idara ya ulinzi ya Marekani, (Rear Admiral John Kirby) alisema bado inadurusu matokeo ya shambulizi hilo.
Baadhi ya taarifa zinasema kuwa wapiganaji waliwakamata wakazi walioshukiwa kutoa taarifa kwa Marekani.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.