Marehemu Faida Mayunga amefariki akiwa njiani kukimbizwa Hospitali ya mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kuokoa maisha yake baada ya kuugua ghafra na kuanza kutokwa povu mdomoni Mkuu wa kituo hicho Mwalimu Peter Ajari na Mganga mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Shinyanga dk Frediric Mlekwa wakitoa maelezo juu ya kifo cha mtoto huyo
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top