Mwili wa marehemu Faida Mayunga aliyekuwa mlemavu wa ngozi Albino aliyefariki sepetemba 12 saa tano asubuhi katika mazingira ya kutatanisha  kwenye  kituo maalum cha  Buhangija manspaa ya Shinyanga kituo ambacho kina kabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top