Kikongwe Nkwandu Nyasilo akipeana mkono  na mkuu wa wilaya ya Itilima Bibi Gergina Bundala  baada ya kukabidhi mchango wake katika changizo hilo kiasi cha shilingi 100 ya kitanzani.  Kitendo hicho kilihamasisha wananchi kujitokeza kutoa mchango yao na kufikia zaidi ya shilingi 1,400,000  Changizo hilo liliandaliwa na mradi wa maendeleo ya jamii Kanadi kufuatia upungufu wa madawati unaozikabili shule za msingi katika wilaya hiyo.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top