Sehemu hii ilikuwa na Mti uliokuwa kumbukumbu pia ni sehemu ya makumbusho ya utalii kutokana na Mti huo kutumika wakati wa ukoloni kunyongea watu ambao walikuwa wanapatikana na hatia. Vyanzo vya habari vinasema Mti huo uligongwa na gari hivi karibuni. Lakini wanaharakati wa makumbusho ya utalii wanaitupia lawama halmashauri ya jiji la Mwanza kwa kushindwa kuweka Mti mbadala kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu ya Mti huo.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top