Kisima kinachotumiwa na wakazi wa kijiji cha Makao wilayni Meatu mkoani Simiyu lakini mtafaruku mkubwa umetokea baina ya wakazi wa kijiji hicho na mwekezaji wa poli la makao kampuni ya Mwiba ambayo inafanya shughuli za utalii baada ya mradi wa maji uliojengwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wakazi wa makao kutofanya kazi na kusababisha wakazi wa kijiji hicho kuzuia kampuni hiyo kutumia maji ya kisima hicho

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top