Huu ni mti wa kumbukumbu ya Malikia Elizabeth wa Uingereza uliopandwa siku aliposimikwa zaidi ya miaka 60 iliyopita ambapo siku hiyo ulipandwa mti huu katika makutano ya barabara za Kenyatta na Ilemela jijini Mwanza na pembeni mwa mti huu kuna bustani. jiji la Mwanza pamoja na kuwa na vivutio hivyo vya utalii lakini havijatangazwa ipasavyo sio siri kuna baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza hawavifahamu vivutio hivi ambavyo vingetangazwa hata wageni kutoka nje ya nchi wangekuwa wakifika na kufanya utalii wa picha za kumbukumbu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top