Wakazi wa kijiji cha Makao wilayani Meatu mkoani Simiyu wakitaka kuwashambulia wafanyakazi wa kampuni ya utaill ya Mwiba baada ya kukosekana kwa huduma ya maji kijijini hapo .Pamoja na kampuni hiyo kujenga mradi wa maji ambao ulizinduliwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu bw Mabiti lakini mradi huo haufanyi kazi.
Chapisha Maoni