Wakati ikiwa zimepita siku chache baada ya jeshi la polisi kuhitimisha wiki ya usalama barabarani Watu watano wamepoteza maisha na wengine wanne wamejeruhiwa baada ya gari dogo la abiria kupinduka mara 4 katika barabara ya Tinde Kahama mkoani Shinyanga.Ajali hiyo imetokea katika eneo la Ituli wilaya ya Shinyanga wakati gari hilo lilipokuwa likitokea Tinde kwenda Kahama
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top