April 6, 2025 02:01:24 AM Menu

HALI BADO TETE KATIKA KIJIJI CHA MWAKATA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA AMBACHO KILIGUBIKWA NA MAAFA YA MVUA NA KUSABABISHA VIFO NA WATU KUKOSA MAKAZI.










WAHANGA WA MAAFA HAYA BADO WAKISUBILI KUTEKELEZWA KWA AHADI YA RAIS JAKAYA KIKWETE YA KUJENGEWA NYUMBA BAADA YA KUKOSA MAKAZI.RAIS KIKWETE ALITOA KAULI HIYO BAADA YA KUWATEMBELEA WAHANGA NA KUJIONEA HALI ILIVYO KUWA KWENYE KIJIJI CHA MWAKATA.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

11 Aug 2015

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top