Wito umetolewa kwa Watanzania kusaidia makundi maalum na kuachana na kasumba ya kushindana katika michango kwenye sherehe mbalimbali.Wito huo umetolewa na wanachuo wa chuo kikuu cha ushirika moshi campus ya kizumbi Shinyanga  wakati walipokuwa wakitoa misaada kwenye kituo cha watoto yatima cha Shinyanga PATA TAARIFA KAMILI
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top