Bw Aley ni msanii maarufu hapa Nchini ambaye amepitia kwenye bandi mbalimbali na kujifunza mambo mengi.msanii huyo kwa sasa amejiunga na bandi ya MCT inayomilikiwa na idara ya afya mkoa wa Shinyanga. Alisema maisha sio lazima kwa msanii kuishi katika miji mikubwa wasanii wengi wamekuwa wakiogopa kwenda mikoani eti kwa ugumu wa maisha jambo ambalo sio kweli.alisema yeye kwa sasa yupo Shinyanga na maisha yanasonga mbele na kutoa wito kwa wasanii kubadili mtazamo huo.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top