April 6, 2025 01:13:31 PM Menu

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm wilaya ya Shinyanga vijijini bw Edward Alex akimtunuku hati ya heshima mbunge wa jimbo la Solwa mh ahamed Salum kwa mchango wake mkubwa wa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm kwa kuchangia shughuli za maendeleo kwa wananchi wa jimbo la Solwa.Mwenyekiti huyo alisema mbunge Salum ni tofauti na wabunge waliopita kwenye jimbo hilo kwa  kuchangia shughuli za maendeleo.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

04 Aug 2014

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top