WATOTO 2 WAJERUHIWA KWA MLIPUKO UNAODHANIWA BOMU SHINYANGA WANAKIJIJI WACHANGANYIKIWA WAKIMBIA OVYO A+ A- Print Email Bw Jemes Fabiani mkazi wa kata ya Salawe alisema tukio la mlipuko lilikuwa tishio kwa wakazi wa kata ya Salawe ambapo watoto 2 Fabiani Philip miaka 9 na Zawadi Kano miaka 7 wamejeruhiwa vibaya Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936
Chapisha Maoni