Watoto wa wili Fabiani Philip miaka 7 na Zawadi Kano miaka 9 wakazi wa kijiji cha Mangu kata ya Salawe wilayani Shinyanga wamelazwa kwenye hospitali ya mkoa huo baada ya kujeruhiwa vibaya na mlipuko.Mama wa watoto hao Pili Madata alisema tukio hilo lilitokea ijumaa asubuhi nyumbani kwake wakati watoto hao wanacheza.
Chapisha Maoni