Baadhi ya wachezaji wa timu ya soka ya Kanembo JKT ya Kigoma wamemtwanga refa Peter Mjaya baada ya kugomea penati iliyotolewa mnamo dk 86 baada ya mchezaji wa timu hiyo kuunawa mpira kwenye lango la Kanembo. Wakati wa mchuano wa ligi daraja la kwanza na timu ya Stend ya Shinyanga mchezo uliochezwa katika dimba la ccm kambarage mjini Shinyanga. Hadi tukio hilo linatokea timu hizo zilikuwa azijafungana.Fujo hizo zilisababisha kuvunjika kwa mchezo huo huku wachezaji wa timu ya Kanembo wakiokolewa na jeshi la polisi.
Chapisha Maoni