Katika hali isiyokuwa ya kawaida kituo cha watoto wenye ulemavu wa ngozi Albino cha Buhangija kilichpo manspaa ya Shinyanga chakabiliwa na njaa kwa mara nyingine huku uongozi wa kituo hicho ukijianda kuanza kutembeza bakuli la kuomba msaada.Taarifa zilizopatikana kutoka katika kituo hicho zimebainisha kuwa hali sio nzuri ya chakula na hali hiyo inatokana na Halmashauri zenye watoto wenye ulemavu wa ngizo kwenye kituo hicho kushindwa kuchangia shilingi 2,500 za chakula kwa kila mtoto kwa siku,Hivi karibuni upatikanaji wa chakula katika kituo hicho ulikuwa mzuri baada ya mwandishi wa habari hizi kuliweka bayana tatizo la upungufu wa chakula kwenye kituo cha Star tv.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top