Rais Jakaya Kikwete alisema Seikali yake imesubutu kutekeleza kwa vitendo mapinduzi ya usambazaji wa umeme vijijini kwa lengo la kuchochea maendeleo kwa wananchi na kueleza bayana kwamba bila kuwa na nishati ya umeme hakuna maendeleo.Rais Kikwete alisema hayo wakati wa uzinduzi wa mradi wa umeme katika kata ya Nkololo wilayani Bariadi mkoani Simiyu katika ziara yake ya kikazi ya kuzindua mkoa huo mpya.
Chapisha Maoni