Kazi ni Kazi tuu vibaya kuiba cha Mtu ni kijana ambaye jina lake alikuweza kufaamika mara moja akiwa katika mitaa ya mji wa Kahama akijitafutia riziki kwa kushona viatu ni mfano wa kuigwa kwa kundi la vijana ambao wengi wao utegemea kupata ajira Serikalini na katika taasisi mbalimbali.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top