Mtaalamu wa kiwanda cha Nyama cha Shinyanga bw Charles akielezea matumaini ya ufunguaji wa kiwanda hicho kilichojengwa miaka 30 iliyopita lakini akikuwai kufunguliwa na kuwa makazi ya popo kwa kipindi chote na kusababisha vibaka kuiba baadhi ya vipuli huku wafugaji wakiangaika masoko ya mifugo yao
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top