April 5, 2025 08:18:54 PM Menu

 
 Mmoja wa wachimbaji madini waliofunikwa na kifusi kwenye mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama na kuishi ardhini kwa muda wa siku 40 wakila mende,vyura na magome ya miti bwana  Msafiri amelazimika kurudi tena mgodini kuendeleza kazi ya kuchimba madini baada ya maisha magumu kumwandama ikiwa ni miezi kadhaa baada kuokolewa na kupatiwa matibabu ili kurejea katika hali zao za kawaida.


Angalia Video hapa chini

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

22 Jul 2016
Next
This is the most recent post.
Previous
Majeneza sio biashara bali huduma

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top