MWILI WA MUSSA SHIJA UKIWA KWENYE CHUMBA CHA KUIFADHIA MAITI KWENYE HOSPITALI YA MKOA WA SHINYANGA.VYANZO VYA HABARI VIMESEMA KUWA MAREHEMU SHIJA ALIFARIKI BAADA YA KUPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI WAKATI AKIWA KWENYE TAMASHA HILO USIKU WA IJUMAA.UCHUNGUZI  WA KITAALAMU UMEBAINISHA KWAMBA MAREHEMU ALIPASUKA FUVU LA KICHWA, TAMASHA HILO LILIFANYIKA KATIKA  UWANJA MDOGO WA KAMBARAGE MJINI SHINYANGA.MAREHEMU SHIJA UMRI MIKA 17 MKAZI WA CHIBE MANSPAA YA SHINYANGA AMETAMBULIWA NA NDUGU

HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA NDANI YA  UWANJA MDOGO WA KAMBARAGE UMATI HUU WA WATU WAKISELEBUKA PASIKUJUA YAJAYO
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top