Askofu wa kanisa la AICT dayosisi ya Shinyanga John Nkola atoa wito kwa watanzania kuepuka manabii wa uongo wanaodai wanaoteshwa na Mungu kutatua matatizo ya binadamu.Askofu Nkola alitoa wito huo kwenye sherehe ya miaka 20 ya dayosisi ya Shinyanga alisema kuna baadhi ya watu wanadai wanaoteshwa na Mungu kutatua matatizo ya binadamu wenye shida jambo ambalo sio kweli.
Chapisha Maoni