Mkuu wa kanisa la AIC nchini Kenya bishop Silas Yego alisema umasikini katika nchi za Africa mashariki unatokana na uzembe wa kutokufanya kazi pamoja na mikataba mibovu ya uwekezaji.Mkuu huyo wa kanisa alisema hayo wakati wa sherehe ya miaka 20 ya kanisa la AICT dayosisi ya Shinyanga sanjali na kuchangia upanuzi wa shule ya sekondari ya askofu Nkola ambapo alichangia zaidi ya shilingi milioni 9 za kitanzania.
Chapisha Maoni