Kanisa la AIC dayosisi ya Shinyanga imeandaa tamasha kubwa katika viwanja vya ccm Kambarage manspaa ya Shinyanga kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mauaji ya vikongwe pamoja na ugonjwa wa ukimwi sanjali na kupata neno la Mungu.Tamasha hilo limeanza leo na kuwa kivutio cha wakazi mbalimbali wa manspaa ya Shinyanga kama uwaonavyo katika picha
Chapisha Maoni