Bw Wilison Nkambaku mkuu wa wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga akinyanyua kombe la Tunzo ya Rais wa Tanzania .baada ya kukabidhiwa na Meneja Mgodi wa Wiliamson Mwadui Mkoani shinyanga  Bw Charl Barnard  ambapo Mgodi huo . Umeshinda katika kushiriki vyema  kutoa huduma za kijamii kwa kushirikisha Serikali za vijiji vinavyozunguka Mgodi huo.Hata hivyo tayari Mgodi wa Wiliamson  mwaka jana  uliibuka na  Tunzo  ya  Rais ya utunzaji wa Mazingira.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top