Mratibu wa shirika la utafiti wa magonjwa ya Binadamu barani Afica la Amref bibi Edina Matasha akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga bibi Nyamubi wakati wa kutoa misaada ya vifaa kwa ajili ya mpango wa afya ya uzazi katika mkoa wa Shinyanga wenye asilimia 12 ya mpango huo

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top