Kushoto ni meneja wa Banki ya Access tawi la kahama bw Cassion Clovis akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya Kahama bw Benson Mpesya wakati wa ufunguzi wa banki hiyo ambayo imeelezwa ni ufumbuzi wa wakuliama na wafanya biashara wilayani kahama ambao wataweza kupata mikopo kwa masharit nafuu
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top