Meneja wa CRDB tawi la Shinyanga bw. Saidi Pamui sanjari na Bi,Mariamu Rufunga wakisisitiza umuhimu wa wanawake kupatiwa mikopo kwa lengo la kukuza mitaji katika Biashara zao na kupambana na umasikini miongoni mwa familia na kuondokana na mfumo Dume wa kutengemea wanaume
Chapisha Maoni