wanawake tunaweza bila kuwezeshwa ni msemo ambao umekuwa maarufu katika pande mbalimbali za Tz mfano kama huu mwanamke ambaye jina lake alikutambuliwa mara moja alikutwa akichimba msingi wa Nyumba katika eneo la chuo kikuu cha Ushirika Kizumbi kilichopo manspaa ya Shinyanga hivi karibuni

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top