MKOA WA GEITA WAKABILIWA NA UCHACHE WA VITUO VYA TIBA YA WAGONJWA WA UKIMWI A+ A- Print Email Mkuu wa mkoa wa Geita bw Said Magalula anasema mkoa wake unakabiliwa na uhaba wa vituo vya huduma kwa waathirika wa ugonjwa wa ukimwi kwani kuna vituo 6 na tunatoa wito kwa wahisani kutusaidia milango hipo wazi alisema mkuu wa mkoa wa Geita Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936
Chapisha Maoni