Askari wa jeshi la Polisi mkoani Shinyanga wakikabiliana na kundi la vijana waliotaka kupenya kuingia kwenye uwanja wa michezo wa ccm Kambarage mjini Shinyanga .kwenye michezo ya ligi daraja la kwanza ambapo mkoa huo una timu mbili zinashiriki ligi hiyo msimu huu ambazo ni Mwadui na Stend.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top