MMOJA WA WACHIMBAJI MADINI WALIOISHI ARDHINI KWA SIKU 40 AREJEA MGODINI
Mmoja wa wachimbaji madini waliofunikwa na kifusi kwenye mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama na kuishi ardhini kwa muda wa siku 40 wakila mende,vyura na magome ya miti bwana Msafiri amelazimika k…