Baadhi ya watoto wa kike katika darasa la awali la shule ya msingi Didia wakionyesha uwezo wao wa masomo pamoja na kukabiliwa na changamoto ya baadhi ya wazazi kuwakatisha masomo watoto wa kike mkoani Shinyanga kwa madai kwamba uwezo wao wa masomo ni mdogo jambo ambalo linazimisha matumaini ya maisha ya baadae ya watoto wa kike mkoani Shinyanga.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top