Chama cha walemavu wa ngozi Abino kimetoa wito kwa wazazi wenye watoto katika kituo maalumu cha Buhangija kuwatembelea watoto wao na kujua matatizo yao tofauti na hivi sasa wamewatelekeza na kushindwa kuwatembelea.Bw Josephat Torner amesema hayo wakati wa kukabidhi misaada mbalimbali kwenye kituo hicho.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena..wasiliana nasi kwa simu namba 0758059936

Chapisha Maoni

 
Top